Sunday, 25 May 2014
USIKU WA MANGWEAR MOROGORO, KIMENUKA (love concert)
Posted by : DJChoka Posted date : 24/05/2014 In Advertise Comments Off
LOVE CONCERTKuelekea maadhimisho ya Tamasha maalum la kumkumbuka mfalme wa FREE STYLE Tanzania Marehemu Albert Mangwe, baadhi ya maeneo ya Mjini Morogoro tayari kishanuka. Katika tamasha hilo linalotarajiwa kufanyika siku ya TH 28 may pale Samaki samaki Kihonda.
Akizungumza na mtupa taarifa hizi, Mratibu mtendaji wa tamasha hilo Kareeem Omary KO amesema, maandalizi yameshakamilika na wanawaomba wadau kujitokeza kuonesha LOVE ya pamoja.
Kareeamesema walizungumza na familia na kwa pamoja wamebariki tukio hilo ambalo kabla ya ukumbini, litatanguliwa na ibada mbili ya Kanisani na nyumbani.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment